Pakua Mtihani wa Kiswahili Karatasi ya 1 Darasa la 8 muhula wa kati wa 3 mwaka 2025 ukiwa na scheme ya ufahamu. Mtihani huu unawasaidia wanafunzi kufanya mazoezi ya ufahamu, sarufi na uandishi wa kazi rasmi kupitia maswali yaliyoandaliwa kwa ufasaha kwa maandalizi bora.