Pakua mtihani wa Grade 9 Kiswahili Paper 2 Opener Term 2 2026 ukiwa na kadi kamili ya kusahihishia. Mtihani huu umeandaliwa kulingana na mfumo wa CBE kwa wanafunzi wa Junior School. Ni nyenzo bora kwa walimu na wazazi kutathmini uelewa wa lugha na kuimarisha marudio ya mwanafunzi mwanzoni mwa muhula wa pili.